Back to home

Naibu Kinara wa chama cha DCP Cleophas Malala ameshutumu vikali Jeremiah Kioni

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 1, 2025
2h ago
Naibu Kinara wa chama cha DCP Cleophas Malala ameshutumu vikali madai ya katibu wa chama cha Jubilee Jeremiah Kioni kuwa anashirikiana na rais William Ruto kisiri.