Back to home
EACC yashirikiana na kaunti kudhibiti visa vya ufisadi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
3h ago
Tume ya kupambana na ufisadi EACC imeshirikiana na serikali za kaunti kubuni kamati za kuzuia visa vya ubadhirifu wa pesa za umma kwenye serikali hizo.