Back to home
Wanaharakati Wakenya Bob Njagi na Nicholas Oyoo watekewa nyara Uganda
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
1h ago
Wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo Ochieng wameripotiwa kutekwa nyara jijini Kampala nchini Uganda walikokuwa wanakutana na mwaniaji urais wa chama cha National Unity Platform Bobi Wine. Njagi na Oyoo wakiripotiwa kutekwa nyara mwendo wa saa tisa alasiri katika kituo kimoja