Back to home
Mahakama yamnyima Waititu ombi la dhamana kwa mara ya tatu
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
1h ago
Ni pigo jingine kwa aliyekuwa Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu, baada ya mahakama kwa mara ya tatu kudinda kuidhinisha ombo lake la kutaka kuachiliwa kwake kwa dhamana.