Back to home
Royal Media na Zizi Afrique washirikiana kupeperusha vipindi maalum vya maswala ya elimu
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
2h ago
Kampuni ya Royal Media Services kwa ushirikiano na wakfu wa Zizi Afrique itapeperusha moja kwa moja vipindi maalum vitakavyoangazia maswala ya Elimu kupitia Jukwaa litakalowakilisha wanafunzi, walimu, wazazi na maafisa wa wizara ya Elimu