Back to home
Walimu wahimiza wanafunzi kusikizwa zaidi ili kudumisha uhusiano mwema
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
3h ago
Walimu katika kaunti ya Nyamira wanashinikiza ushirikiano mwema kati ya walimu, wanafunzi, jamii na serikali, ili kukuza mazingira mema shuleni haswa wakati wa mitihani ya kitaifa.walimu hao wameahidi kufanikisha uhusiano mwema na wanafunzi ili kuzuia mizozo inayosababisha kuchom