Back to home

Mbio za masafa zazinduliwa katika msitu wa Mau kaunti ya Nakuru,

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 2, 2025
2h ago
Serikali imezindua mbio za masafa katika msitu wa mau katika kaunti ya Nakuru, mbio hizo zimeratibiwa kufanyika tarehe 24 Oktoba , 2025 katika kaunti ndogo za Kuresoi Kaskazini na Kuresoi Kusini ili kulinda na kuhifadhi msitu huo.