Back to home
Viongozi waahidi kutatua mizozo wa umiliki wa ardhi eneo tata la Angata Bariko
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
2h ago
Baadhi ya viongozi Kaunti ya Narok wameahidi kusuluhisha mzozo wa umiliki wa ardhi eneo tata la Angata Barikoi eneo bunge la Emurua Dikirr.