Back to home
Wakulima wa kahawa waendelea kupinga mfumo mpya wa malipo
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
2h ago
Huku Dunia ikiadhimisha siku ya kahawa, Wakulima na Viongozi wa mashirika ya kahawa katika kaunti ya Kirinyaga wameendelea kupinga sheria mpya za malipo ya kahawa kupitia mfumo WA Moja kwa Moja wa DSS.