Back to home
Wahudumu wa fuo za baharini waandamana Mombasa
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
2h ago
Wahudumu katika fuo za bahari eneo la Nyali hadi Serena kaunti ya Mombasa wamefanya maandamano kulalamikia hatua ya shirika la wanyama pori kuongeza ada za watalii za kuzuru vivutio vya baharini