Back to home
Shirika la IGAD gender lahamasisha wanawake Samburu
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
2h ago
Maafisa wa Shirika la IGAD Gender kwa usaidizi wa serikali ya Japani waliwakutanisha wanawake katika Kambi ya Umoja, Kaunti ya Samburu ambapo walifanya majadiliano kuhusu ujumuishaji wa wakazi wa mpakani na changamoto zinazowakabili wanawake katika eneo la IGAD.