Back to home

Kenya yajiandaa kuwa mwenyeji wa kongamano la COMESA

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 2, 2025
2h ago
Kenya imethibitisha utayari wake wa kuwa mwenyeji wa mkutano wa 24 wa wakuu wa nchi na serikali wa COMESA utakaofanyika tarehe 9 Oktoba кatika jumba la kimataifa la mikutano la KICC, jijini Nairobi.