Back to home
Wasanii watumia ngoma na densi kuhamasisha umma Busia
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
2h ago
Ili kudumisha maadili katika jamii na hasa miongoni mwa vijana, wasanii wa kitamaduni katika kaunti ya Busia wanatumia ngoma na densi za kitamaduni katika sherehe mbalimbali zinazolenga kutoa hamasa na mafunzo kwa vijana.. Nyimbo hizo za kitamaduni hupokezwa kutoka kwa kizazi ki