Back to home

Abraham Ayaya mgombea wa wadi ya Kisa mashariki ODM ahamia chama cha DAP-K

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 3, 2025
2h ago
Chama cha ODM kimepata pigo kubwa baada ya mgombea wake wa kiti cha wadi ya Kisa Mashariki eneobunge la Kwisero kaunti ya Kakamega kuhumia chama cha DAP-K siku chache tu baada ya kupokea tiketi ya ODM.