Back to home
Nyufa zazidi kwenye muungano wa upinzani
video
C
Citizen TV (Youtube)October 3, 2025
2h ago
Nyufa ndani ya muungano wa upinzani ziliendelea kudhihirika leo, kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua akiwashutumu baadhi ya viongozi wanaotaka kumrithi Rais William Ruto, kwa kuendelea na mikutano kwenye hoteli na mitandaoni badala ya kutafuta kura kwa wananchi.
Kikosi hicho