Back to home
Kindiki awahimiza wananchi kujisajili kupiga kura
video
C
Citizen TV (Youtube)October 3, 2025
2h ago
Naibu Rais Kithure Kindiki amewahimiza wakenya ambao hawajajisajili kama wapiga kura kujitokeza na kufanya hivyo kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza katika kaunti za Murang’a na Kilifi, Kindiki amesema ni kupitia kura tu ndio Wakenya watawachagua viongozi watakaowaletea ma