Back to home
Maraga na Matiang’i watabiri mshikamano wa upinzani kuiondoa Kenya Kwanza
video
C
Citizen TV (Youtube)October 5, 2025
3h ago
Jaji mkuu mstaafu David Maraga na waziri wa zamani Fred Matiang'i wameelezea imani ya mshikano wa upinzani kuondoa mamlakani serikali ya Kenya Kwanza kwenye uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza kaunti ya Kisumu, Maraga alisema kuwa hoja muhimu ni kuiondoa serikali ya sasa ambayo alise