Back to home

Baadhi ya wakazi Nyamira wahamasisha vijana kujitokeza kusajiliwa kura

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 6, 2025
3h ago
Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Nyamira wamezuru vijiji mbalimbali kuwahimiza vijana kujitoteza na kujisajili kuwa wapiga kura, baada ya kaunti hiyo kuorodheshwa kati ya zile zilizoandikisha wapiga kura wachache zaidi nchini wiki jana. Wakizungumza walipozuru vijiji mbalimbali kule