Back to home
Wanafunzi wa shule ya Hatata Tana River wahamishiwa anole
video
C
Citizen TV (Youtube)October 6, 2025
3h ago
Hatua ya wizara ya elimu ya kufunga na kuhamishia wanafunzi wa shule ya msingi ya Hatata kaunti ya Tana River hadi shule jirani ya Anole imeanza kukera wazazi wa shule hiyo baada ya wanafunzi wengi kusitisha masomo.
Kulingana na wazazi hao shule hiyo ilifungwa mwaka jana kutokana