Back to home

Viongozi wa ODM waongoza wanachama kusherehekea miaka ya 20 ya chama hicho huko Lamu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 6, 2025
2h ago
Viongozi wa ODM Kaunti ya Lamu, wakiongozwa na Mwenyekiti wao Aisha Nizar, wamepongeza muungano wa Chama cha ODM na Serikali ya Kenya Kwanza, wakisema umeleta maendeleo makubwa katika kaunti ya Lamu. Kadhalika, wanasema kuwa uhusiano huo umesaidia kuimarisha sekta ya usalama amba