Back to home

Seneta Sifuna aendelea kurindimisha ngoma ya 'wantam' dhidi ya rais William Ruto

video
N
NTV Kenya (Youtube)
October 6, 2025
2h ago
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ameongoza viongozi wa mrengo wa Kenya Moja kupinga sera za serikali ya Kenya Kwanza na kurindimisha ngoma ya wantam dhidi ya rais William Ruto. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the