Back to home
Walimu wa JSS Tana River wanataka uhuru wa kujisimamia
video
C
Citizen TV (Youtube)October 7, 2025
1h ago
Walimu wa shule za sekondari msingi eneo la Kipini kaunti ya Tana River wanaitaka serikali kuwapa walimu wa JSS uhuru wa kujisimamia. Kulingana na walimu hao, kuunganishwa kwao na walimu wa shule za msingi kunawapa changamoto kutekeleza mfumo wa elimu wa CBC. Walimu hao pia wanai