Back to home

Mbunge wa Kabuchai, Majimbo Kalasinga ataka ulinzi zaidi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 7, 2025
2h ago
Mbunge wa Kabuchai, Majimbo Kalasinga, ameitaka idara ya usalama kuingilia kati na kuchunguza tukio ambapo Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula, anadaiwa kutishia maisha yake kabla ya uchaguzi mdogo wa wadi ya Chwele Kabuchai ambao umepangwa kufanyika tarehe 27 Novemba mw