Back to home

Walemavu wataka wajumuishwe kwenye uongozi katika kaunti ya Uasin Gishu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 8, 2025
2h ago
Watu wenye ulemavu katika kaunti ya Uasin Gishu ,wanatarajiwa kufika mbele ya bunge la kaunti hiyo ,kulalamikia kutengwa na serikali ya kaunti . Walemavu hao wanasema hakuna hata mlemavu mmoja ameajiriwa na bunge hilo licha ya kuwa wana haki kisheria kuajiriwa kama watu wengine k