Back to home
Maafisa wa DCI wafika shuleni kuanza uchunguzi baada ya wanafunzi wawili kuangukiwa na vifusi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 8, 2025
2h ago
Wazazi wa wanafunzi wawili waliofariki baada ya kuangukiwa na vifusi kutoka kwa jengo moja huko Kayole, wanaitaka serikali kuhakikisha watoto wao wamepata haki. Hii leo, makachero wa DCI walikita kambi katika shule hiyo ya Emmanuel New Life Learning Centre kuanzisha uchunguzi ku