Back to home
Cape Verde yabisha mlango wa kufuzu kombe la dunia
video
C
Citizen TV (Youtube)October 8, 2025
2h ago
Nchi ya Cape Verde inahitaji ushindi mmoja ili kufuzu kwa kombe la dunia mwaka ujao. Cape Verde imesalia na mechi mbili, moja ya nyumbani na nyingine ugenini.