Back to home

Zoezi la kukusanya data ya wajawazito yaanzishwa Tharaka Nithi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 8, 2025
2h ago
Serikali ya kaunti ya Tharaka Nithi sasa imeanzisha mpango wa kusajili kina mama wajawazito kama utaratibu wa kuweka mikakati ya kuwashughulikia kutoka wakati wanaposhika ujauzito hadi watakapo jifungua.