Back to home

Walemavu wafurahia matunda ya serikali ya uwekezaji

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 8, 2025
2h ago
Wakaazi kutoka kaunti ya Meru walio na Ulemavu wameeleza Mafanikio ya uwezeshaji kiuchumi wanaopata kutoka kwa serikali na Mashirika ya Kijamii, Baadhi yao wakiweza kujikimu pamoja na Familia Zao.