Back to home
Watu watatu wa familia moja waliteketea hadi kufa huko Tongaren
video
C
Citizen TV (Youtube)October 8, 2025
2h ago
Watu watatu wa familia moja walifariki kwenye mkasa wa moto uliozuka katika soko la brigadieren eneobunge la Tongaren kaunti ya Bungoma.