Back to home

ODM yasuta upinzani kuhusu afya ya Raila Odinga, yasema haitajiondoa serikalini

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 8, 2025
3h ago
Viongozi wa ODM sasa wamewasuta wenzao wa upinzani na kuwataka kukoma kumuingilia kinara wao Raila Odinga. Viongozi hao waliozungumza oyugis kaunti ya Homa Bay wamesema chama cha chungwa hakitabanduka katika serikali ya muungano na Rais William Ruto