Back to home

Watu watatu zaidi waugua kipindupindu Kilgoris

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 9, 2025
4h ago
Watu watatu zaidi wanaendelea kutibiwa kutokana na ugonjwa wa kipindupindu eneo la Kilgoris, Transmara, kutokana na ugonjwa wa kipindupindu, uliowaua watu watano kufikia sasa. Wakaazi wa baadhi ya maeneo yaliyoathirika kama vile kitongoji cha Majengo na Huruma sasa wakiitaka seri