Back to home
Mlinzi mmoja auwawa huku mwingine akijeruhiwa vibaya na genge la wahuni Kibingei
video
C
Citizen TV (Youtube)October 9, 2025
5h ago
Mlinzi mmoja ameuawa huku mwingine akijeruhiwa vibaya na genge la wahuni wasiojulikana katika kiwanda cha kahawa cha Kibingei eneo bunge la Kimilili kaunti ya Bungoma. Na kama anavyotuarifu Ann Mwendwa, wahuni hao pia wanaaminika kuiba magunia takriban kumi na matano ya kahawa ku