Back to home

Mauaji ya Brian Odhimbo aliyetoweka mwezi Januari mwaka huu kwenye mbuga ya wanyama Nakuru

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 9, 2025
5h ago
Kesi ya mvuvi Brian Odhiambo aliyetoweka mwezi Januari mwaka huu kwenye mbuga ya wanyama ya Nakuru imechukua mkondo mpya baada ya makachero wa kitengo cha jinai na upelelezi kupata amri ya mahakama ya kutafuta na kufukua miili ya watu wanaoaminika kuzikwa ndani ya mbuga ya wanyam