Back to home

Makundi mawili yashambuliana mjini Isinya Kajiado

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 9, 2025
4h ago
Hali ya taharuki imetanda kutwa nzima katika mji wa isinya kaunti ya Kajiado baada ya jamii zinazoishi mji huo kuanza kupigana tangu jana usiku.