Back to home
Ubunifu na teknolojia mbalimbali za kuimarisha kilimo
video
C
Citizen TV (Youtube)October 9, 2025
4h ago
Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Nairobi yaliyokamilika wiki iliyopita yalisheheni ubunifu na teknolojia mbalimbali za kuimarisha kilimo. Mojawapo ya ubunifu uliopata umaarufu ni Trekta yenye uwezo wa kuwapunguzia wakulima wadogo gharama ya uzalishaji. Teknolojia za kisasa z