Back to home
Zacharia Kamande atumai kuiwakilisha Kenya katika mashindano ya kimataifa kwenye mchezo wa discus
video
N
NTV Kenya (Youtube)October 9, 2025
4h ago
Mshindi wa nishani ya shaba wa urushaji tufe maarufu kama discus katika michezo Afrika Mashariki ya shule za upili, Zacharia Kamande ana ndoto ya kuiwakilisha Kenya katika mashindano ya kimataifa.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the