Back to home
Rais aongoza hafla ya upanzi wa miti shuleni Statehouse Nairobi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 10, 2025
5h ago
Rais William Ruto amewaongoza wakenya kwenye sherehe za sikukuu ya mazingira kwa kupanda miti katika shule ya upili ya statehouse hapa jijini Nairobi.