Back to home
Katibu Mary Muthoni asema ni jukumu la kila mkenya kuhakikisha usafi wa wanakoishi
video
N
NTV Kenya (Youtube)October 10, 2025
4w ago
Ni jukumu la kila mkenya kuhakikisha usafi wa wanakoishi na mazingira walioko. Ndio mwito wa katibu wa afya Mary Muthoni, ambaye anasema usafi wa mazingira unachangia pakubwa juhudi za kupambana na magonjwa yanayoletwa na uchafu .
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Ke




