Back to home
Benki ya KCB yadhamini makala ya mwaka huu ya Safari 7s
video
N
NTV Kenya (Youtube)October 10, 2025
4h ago
Benki ya KCB imeyadhamini makala ya mwaka huu ya mchuano wa raga wa wachezaji saba kila upande wa safari kwa kima cha shilingi milioni 4.5. Mkurugenzi wa fedha wa KCB James Mugo amekariri msimamo wao wa kukuza vipaji nchini. #NTVAdhuhuri
Subscribe and watch NTV Kenya live for l