Back to home

Mashindano ya dunia ya gofu ya mwaka huu yataandaliwa nchini Misri

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 10, 2025
4w ago
Mchezaji gofu wa Kenya Rose Catherine anasema yuko tayari kuiwakilisha taifa kwenye mashindano ya somabay yatakayoandaliwa jijini Cairo nchini Misri.
Mashindano ya dunia ya gofu ya mwaka huu yataandaliwa nchini Misri (Video)