Back to home

Washukiwa 4 wa ulanguzi wa dawa za kulevya washtakiwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 10, 2025
4w ago
Washukiwa wanne wanaohusishwa na mtandao wa kimataifa wa usafirishaji wa dawa za kulevya kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) wamefikishwa mahakamani.