Back to home
Wizara ya afya yaongoza msafara wa hamasisho kuhusu afya ya akili Nairobi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 10, 2025
3h ago
Taifa la Kenya lilijiunga na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya kimataifa ya afya ya akili duniani huku ikibainika kuwa takriban asilimia 75 ya wakenya wanaopitia changamoto ya afya ya akili hawapati huduma wanazohitaji .