Back to home
Familia za wanaharakati waliotoweka Uganda zafanya maombi maalum zikimtaka Rais Ruto kuingilia kati
video
C
Citizen TV (Youtube)October 12, 2025
2h ago
Maombi maalum yamefanyika leo kwa mwanaharakati wa Kenya Nicholas Oyoo na mwenzake Bob Njagi waliotoweka nchini Uganda. Ikiwa ni siku kumi na moja sasa baada ya kutoweka kwao, familia za wawili hawa zinamtaka Rais William Ruto kuingilia kati na kuhakikisha jamaa zao wameachiliwa