Back to home

Wanamazingira katika Kaunti ya Kilifi wapanda zaidi ya miche 2,500 ya mikoko

video
N
NTV Kenya (Youtube)
October 13, 2025
2h ago
Wakati Kenya iliadhimisha Siku ya Mazingira (Mazingira Day), vijana wanamazingira katika Kaunti ya Kilifi waligeuza maadhimisho kuwa hatua ya maana ya kimazingira. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news