Back to home
Wakulima wa chai Kusini mwa bonde la ufa walalamikia malipo duni ya bonasi, wataka mageuzi KTDA
video
C
Citizen TV (Youtube)October 13, 2025
21h ago
Wakulima wa majani chai kutoka kusini mwa bonde la ufa wanataka mabadiliko ya dharura katika sekta ya kilimo hicho kutokana na kile wanachosema ni malipo duni ya bonasi kutoka halmashauri ya KTDA. Kwenye mkutano uliofanyika leo eneo la Mogogosiek eneobunge la Konoin, wakulima haw