Back to home

Ruto atetea miradi ya nyumba na ule wa Nyota, asema wakosoaji hawana suluhu mbadala

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 13, 2025
8h ago
Rais William Ruto ametetea miradi ya nyumba za serikali na ule wa vijana wa Nyota akisema wale wanaopinga miradi hiyo hawana suluhu mbadala na kwamba yao ni maneno matupu. Ruto ameonekana kumjibu aliyekuwa Mwandani Wake Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro aliyeshutumu serikali kwa kuko