Back to home
Shule mbalimbali zaanzisha kilimo cha bustani Samburu
video
C
Citizen TV (Youtube)October 14, 2025
3h ago
Usimamizi wa shule mbalimbali katika kaunti ya Samburu umeanza kukumbatia mpango wa kitaifa unaoendeshwa na mama wa taifa Rachael Ruto maarufu kama "Mama kitchen garden" ili kuongeza chakula shuleni. Mkewe rais anatarajiwa kuzindua rasmi mpango huo katika shule ya upili ya wasich