Back to home
Chama cha KNUT tawi la Trans Nzoia chapinga hoja ya JSS
video
C
Citizen TV (Youtube)October 14, 2025
3h ago
Chama cha Kitaifa cha Walimu (KNUT) tawi la Trans Nzoia kimepinga shinikizo la kuhamisha usimamizi wa shule za Sekondari msingi (JSS) kutoka shule za msingi hadi shule za upili.