Back to home
Wakulima wa Tongaren walalamikia bei duni ya kahawa
video
C
Citizen TV (Youtube)October 14, 2025
3h ago
Wakulima wa kahawa Kutoka eneo Bunge la Tongaren kaunti ya Bungoma sasa wanaitaka serikali kuu na ile ya kaunti kusulihisha matatizo ya sekta hiyo.