Back to home

Serikali ya kaunti ya Kwale yaboresha mazingira ya mto

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 14, 2025
3h ago
Serikali ya Kaunti ya Kwale imeanzisha mpango wa kuboresha mazingira ya mto Ramisi kupitia upandaji wa miti pamoja na kusafisha mazingira ya mto huo.